Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mtani kesho sijui nikae kushoto au kulia??

Mkuu kesho naiwe 0-0, 1-1, 2-2, 3-3,... Katika hali hiyo basi hutakiwi kuwa upande wa everlenk. Usifungamane mkuu...

Mkuu Eli79 mshindi wa kwanza ni kati ya sisi au chelsea. Man city na united ni 3 na 4 so usiwe na wasiwasi mkuu

Mimi hata siongei tena mchana nimeongea mengi sana kule Chelsea,masaa yamebaki machache mtanange mtaushuhudia kwa macho yenu........
 
Last edited by a moderator:


''Wenger says he is just focusing on continuing their winning form until the end of the campaign. "I don't want to stop the run," Wenger said. "We have won 16 of our last 18 games in all competitions so we are consistent.''

Wakuu tumebakiza mechi mbili away na mechi 4 Emirates kwenye kinyang'anyiro cha EPL .... ..... .... ... Hull away tarehe 4 May na
Manure tarehe 17 May.

Chelsick, Swansea, Sunderland na West Brom wanakaribishwa Emirates in that order 26 April, 11 May, 20 May na 24 May funga dimba. Hesabu zitafungwa rasmi tutaanza ku-compare notes. #COYG.
 
Endelea kurukaruka but kumbuka una point zangu 3

''Hadithi njoo utamu kolea'' khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee vipi kesho utakuwepo jukwaani au ndio basi tena moyo umenyong'onyea kama Judas Iskariot! Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Nakumbuka tulipocheza FA cup ulichema ivyo hivyo.
 

Usijali hao wauza unga dawa yao hii hapa chini .... ... .... . vijana wanawachubiri utasikia vilio vyao ati kuna campaign kwenye media Phew!




Safari hii Wenger akianguka tena sijui mtasemajd?
 
Chelsea vs QPR, Chelsea wins: 73pts. Arsenal vs Burnley, Arsenal wins: 66pts.
Chelsea vs Man utd, Man utd wins: 73pts. Arsenal wouldn't play bcoz of the FA Cup semi: 66pts.
Chelsea vs Arsenal: Arsenal wins, Chelsea 73pts, Arsenal 69pts. Chelsea vs Leicester, game in hand ends in a draw for Chelsea: 74pts.
Chelsea vs Crystal Palace, Chelsea wins: 77pts. Arsenal vs Hull city, Arsenal wins: 72pts.
Chelsea vs Liverpool, Chelsea lose: 77pts. Arsenal vs Swansea, Arsenal wins: 75pts.
Chelsea vs West Brom, Chelsea wins: 80pts. Arsenal vs Man utd, Arsenal wins: 78pts. Arsenal vs Sunderland, Arsenal wins their game in hand, goes top with 81pts.
Final day Chelsea vs Sunderland, Chelsea wins: 83pts. Arsenal vs West Brom, Arsenal wins: 84pts.
FINAL TABLE standings Arsenal (champs) 84pts Chelsea 83 points
 

Wake up....wake up bro...its morning already!

Duh ama kweli wahenga hawakukosea waliposema, "if wishes were horses even beggars would ride..."

Leo hii mpya una ndoto za Chelsea kufungwa na Arsenal Man utd na Liver? My friend ni rahisi sana QPR kumfunga Chelsea kuliko Arsenal kudraw na Chelsea.

Be realistic na uridhike na namba mbili. Kazania FA don't go overboard sir! #utachekwaaaaaa
 

Hatutabeba kombe la EPL lakini tutamaliza ligi vizuri kuliko miaka iliyopita. Tunachotakiwa ni kuendeleza/kujenga tutakapoishia ili mwakani tuweze kulibeba. Safari hii tunapesa hivyo hakuna uwezekano wa kupoteza wachezaji wetu muhimu kama ilivyotokea awali.
 


I got this post from another forum young man!! I understand we stand a slim chance against the blues...but keeping hopes alive won't harm me. After all, even soccer pundits have given the gooners a slim chance to overtake the blues!!
Nipo alive and kicking bro!!!
 


Hii nime share toka forum nyingine. Haya sio mawazo yangu, nilitaka kuona jinsi gani Mentor na Ntuzu wata react. Pole Mentor, nazidi kupandisha homa ya EPL title mkuu...hahaha
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Kweli mkuu,huo ndio ukweli mchungu kama shubiri kwa mashabiki wa Chelsea kuumeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…