Ntuzu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 17,418 Reaction score 10,877 Apr 4, 2015 #41,561 utafiti said: Ana kiporo kimoja ila tunamuombea njaa tu... Click to expand... Dua la Kuku hilo mkuu.
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Apr 4, 2015 #41,562 Ntuzu said: Soon ntakuja emirates nikupige hapo hapo Click to expand... Mkuu Ntuzu sisi bado mechi 7, ni point 21 hizo bila kupoteza hata moja Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ntuzu said: Soon ntakuja emirates nikupige hapo hapo Click to expand... Mkuu Ntuzu sisi bado mechi 7, ni point 21 hizo bila kupoteza hata moja
everlenk JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 11,628 Reaction score 15,032 Apr 4, 2015 #41,563 rubaman said: This game is wide open, wanaweza kurudisha.God forbids. Wanacheza vizuri kipindi cha pili, baada ya Daniel Sturridge kuingiza. Click to expand... Hutakiwi kuwa na mashaka....... Japokuwa hutupendi lakini nAkutakia heri zote
rubaman said: This game is wide open, wanaweza kurudisha.God forbids. Wanacheza vizuri kipindi cha pili, baada ya Daniel Sturridge kuingiza. Click to expand... Hutakiwi kuwa na mashaka....... Japokuwa hutupendi lakini nAkutakia heri zote
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Apr 4, 2015 #41,564 Ntuzu said: Dua la Kuku hilo mkuu. Click to expand... Siku nyengine linampata mwewe mkuu
rubaman JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 4,983 Reaction score 3,084 Apr 4, 2015 #41,565 Arsenal with injuries again and again. Kila tunapoponyesha mchezaji mmoja, wawili wanaingia wodini.
Ntuzu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 17,418 Reaction score 10,877 Apr 4, 2015 #41,566 utafiti said: Mkuu Ntuzu sisi bado mechi 7, ni point 21 hizo bila kupoteza hata moja Click to expand... Na sisi bado ngapi bila kupoteza? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
utafiti said: Mkuu Ntuzu sisi bado mechi 7, ni point 21 hizo bila kupoteza hata moja Click to expand... Na sisi bado ngapi bila kupoteza?
Ntuzu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 17,418 Reaction score 10,877 Apr 4, 2015 #41,567 utafiti said: Siku nyengine linampata mwewe mkuu Click to expand... Ujue huyo sio mwewe alikua njiwa...lol.
utafiti said: Siku nyengine linampata mwewe mkuu Click to expand... Ujue huyo sio mwewe alikua njiwa...lol.
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Apr 4, 2015 #41,568 rubaman said: Arsenal with injuries again and again. Kila tunapoponyesha mchezaji mmoja, wawili wanaingia wodini. Click to expand... Mkuu ila paulista yupo vizuri sana
rubaman said: Arsenal with injuries again and again. Kila tunapoponyesha mchezaji mmoja, wawili wanaingia wodini. Click to expand... Mkuu ila paulista yupo vizuri sana
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Apr 4, 2015 #41,569 Ntuzu said: Na sisi bado ngapi bila kupoteza? Click to expand... Kwanza na sisi mshapoteza point 3
Piere. Fm JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,261 Reaction score 1,253 Apr 4, 2015 #41,570 kitwala said: Nipo Liverpool kwa mkopo Click to expand... Endelea kuwepo huko ikiwezekana chukua mkopo wa miaka miwili.
kitwala said: Nipo Liverpool kwa mkopo Click to expand... Endelea kuwepo huko ikiwezekana chukua mkopo wa miaka miwili.
Ntuzu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 17,418 Reaction score 10,877 Apr 4, 2015 #41,571 utafiti said: Kwanza na sisi mshapoteza point 3 Click to expand... Hilo haliwezi kutokea mkipata sn draw lkn tunakuja kuwapiga hapo
utafiti said: Kwanza na sisi mshapoteza point 3 Click to expand... Hilo haliwezi kutokea mkipata sn draw lkn tunakuja kuwapiga hapo
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,913 Reaction score 10,263 Apr 4, 2015 #41,572 rubaman said: Leo yule zeruzeru wa Manchester United sijui atasema nini kuhusu Ozil?Nadhani yupo outside yaArsenal changing room anasubiri apewe jezi na autographs toka kwa Ozil au siyo Belo, Nzi,DonDonald, Click to expand... Ongeza magoli,hivi lini mtashinda goli tano au sita mnapata chance hamzitumii
rubaman said: Leo yule zeruzeru wa Manchester United sijui atasema nini kuhusu Ozil?Nadhani yupo outside yaArsenal changing room anasubiri apewe jezi na autographs toka kwa Ozil au siyo Belo, Nzi,DonDonald, Click to expand... Ongeza magoli,hivi lini mtashinda goli tano au sita mnapata chance hamzitumii
Ntuzu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 17,418 Reaction score 10,877 Apr 4, 2015 #41,573 Piere. Fm said: Endelea kuwepo huko ikiwezekana chukua mkopo wa miaka miwili. Click to expand... Belo njoo huku umuone Piere. Fm na kitwala Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Piere. Fm said: Endelea kuwepo huko ikiwezekana chukua mkopo wa miaka miwili. Click to expand... Belo njoo huku umuone Piere. Fm na kitwala
s.crony JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 1,286 Reaction score 465 Apr 4, 2015 #41,574 Leo hawa wamekanyaga mbwa mkia....piga 6 CMYG
rubaman JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 4,983 Reaction score 3,084 Apr 4, 2015 #41,575 everlenk said: Hutakiwi kuwa na mashaka....... Japokuwa hutupendi lakini nAkutakia heri zote Click to expand... Sio mashaka ni jinsi navyoliona game linavyokwenda at least 5-10 za kipindi cha pili.Dah wamepewa penalty , goal
everlenk said: Hutakiwi kuwa na mashaka....... Japokuwa hutupendi lakini nAkutakia heri zote Click to expand... Sio mashaka ni jinsi navyoliona game linavyokwenda at least 5-10 za kipindi cha pili.Dah wamepewa penalty , goal
kitwala JF-Expert Member Joined Aug 31, 2012 Posts 1,476 Reaction score 1,066 Apr 4, 2015 #41,576 Bado penalty 2 Hahahaaaaa majogoo bhana hadi watengewe
rubaman JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 4,983 Reaction score 3,084 Apr 4, 2015 #41,577 Wanatuharibia goal difference.Inabidi tukaze viuno
kitwala JF-Expert Member Joined Aug 31, 2012 Posts 1,476 Reaction score 1,066 Apr 4, 2015 #41,578 Piere. Fm said: Endelea kuwepo huko ikiwezekana chukua mkopo wa miaka miwili. Click to expand... Hahahahahaaaaa Huu ni mkopo wa dk 90 tu.
Piere. Fm said: Endelea kuwepo huko ikiwezekana chukua mkopo wa miaka miwili. Click to expand... Hahahahahaaaaa Huu ni mkopo wa dk 90 tu.
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Apr 4, 2015 #41,579 kitwala said: Bado penalty 2 Hahahaaaaa majogoo bhana hadi watengewe Click to expand... Tuseme bado penalt 3 ili waondoke na ushindi
kitwala said: Bado penalty 2 Hahahaaaaa majogoo bhana hadi watengewe Click to expand... Tuseme bado penalt 3 ili waondoke na ushindi
Ntuzu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 17,418 Reaction score 10,877 Apr 4, 2015 #41,580 kitwala said: Hahahahahaaaaa Huu ni mkopo wa dk 90 tu. Click to expand... Hahahahaaaa Malafyale hataki uondoke..... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kitwala said: Hahahahahaaaaa Huu ni mkopo wa dk 90 tu. Click to expand... Hahahahaaaa Malafyale hataki uondoke.....