BAK, Wenger ametoa maelezo yanayoeleweka vzr haihitaji kutia maneno sn ktk hilo.....nikumbushe kua huyu mzee Wenger amekua akitetea baadhi ya vitu ktk mpira ambavo kwa haraka unaweza kuona havina faida lkn pale vinapotumika basi unaona faida yake....kwa mfano matuzi ya replay ktk mpira...hichi ni kitu kizuri sn ktk kuchezesha mpira maana kinaondoa utata ktk maamuzi au mambo tata ambayo mwamuzi hawezi kuona km mwanadamu.....Niseme tu kua hilo swala alilosema huyo mzee ata mimi naliunga mkono.
Asante.
Jumlisha Financial Fair Play (FFP) aliipigia debe kwa muda mrefu. Watu wasioona mbali wakamcheka na kumkebehi angalia ilivyo sasa hivi. Kitu kingine ni hiki ni jambo la ugumu wa kupata kibali cha kazi(Wachezaji) England alilipinga kwa muda mrefu, limeshafanyiwa marekebisho kuanzia msimu ujao itakuwa ni rahisi kwa wachezaji kupata vibali kufanya kazi.
Baada ya kutolewa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kufungwa magoli mengi nyumbani, Arsene Wenger amesema sheria ya magoli ya ugenini ni afadhali ibadilishwe
Hahahahahahaaa
HahahaaaOliver kawa mtaaaaaamuuuuu
la pili hilo