Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
...you are right,
tatizo hii 'bad patch' itaisha lini na league inaelekea ukingoni?
Ni bora kuathirika nazo kabla ya New year, sio mwezi February!
Liverpool wesha recorver toka kwenye 'Nighmares' zao, hao wanawasha indicator sasa...
Labda tuwaombee Chelsea nao wapatwe na haya maruwe ruwe pia, maana Manure walishaathirika pia huko awali....
Champions League hiyo inakuja..!
you can say that again!Thanks to Fat Arse and AW
we have clipped 6 pts and 5 goals
you can say that again!
Teh teh teh teh
Wanaombea tufungwe na Westham......Portsmouth na Stoke City halafu wao washinde zote duuuu

Dua la kuku kamwe halitompata mwewe...Adui...Muombee njaa
Dua la kuku kamwe halitompata mwewe...
Endeleeni na manyaunyau yenu!
Haya na tusubiri..Hope mtashinda game zote zilizobakiππ
Tutapoteza some points ila sioni kama ni nyingi kama nyie....kila timu itapoteza points suala watapotezaje ? Draws ama kufungwa........
Haya...Haya na tusubiri..Hope mtashinda game zote zilizobakiππ
Haya...
Naona unadiriki kumwombea jirani yako mabaya!
Kama sisi tulivyopoteza pointi 6 kwa Man Utd na Che;sea(yaani kupoteza game 2 unasema tumepoteza point nyingiπ±π±mmhaya bana),cha msingi tungoje tu na tuone nini kinatokea...Sema nashukuru ile mimechi migumuu tunaimaliza mapema(hata kama tumepoteza point)πππ
Ok!Nini jiranii.....Adui...Muombee njaa
Naelewa unasema nini mkuu...So far tuna tofauti ya point 9(si nyingi kihivyo hizi,last tyme tulikuwa na tofauti ya point karibu 13 mbona tuliwafikia na kuwapita japo kwa muda mfupiππ)..Cha msingi tusubiri tu na tuone...Football is a game of chance(waweza shinda,shindwa ama sare)......Ila tu kaa ukijua kwamba mpaka sasa ubingwa hauna wake,bado tuna nafasi ya kuwa mabingwa tukifanya vizuri katika mechi 13 zilizobakiUsisahau na AV mlipata pwent 1 na Jumatano mtapoteza 3....halafu angalia tunatofauti gani na nyinyi ....na Man then utaelewa nasema nini...
Naelewa unasema nini mkuu...So far tuna tofauti ya point 9(si nyingi kihivyo hizi,last tyme tulikuwa na tofauti ya point karibu 13 mbona tuliwafikia na kuwapita japo kwa muda mfupiππ)..Cha msingi tusubiri tu na tuone...Football is a game of chance(waweza shinda,shindwa ama sare)......Ila tu kaa ukijua kwamba mpaka sasa ubingwa hauna wake,bado tuna nafasi ya kuwa mabingwa tukifanya vizuri katika mechi 13 zilizobaki
Kumbe upo?.............

The way unavyoongea ni kama vile Chelsea na Manure ndio watapoteza mechi tu, na nyie hamtapoteza hizo mechi 13 maana zote ni "nyepesi". Tusubiri tuone kama kuna mechi nyepesi EPL.Naelewa unasema nini mkuu...So far tuna tofauti ya point 9(si nyingi kihivyo hizi,last tyme tulikuwa na tofauti ya point karibu 13 mbona tuliwafikia na kuwapita japo kwa muda mfupiππ)..Cha msingi tusubiri tu na tuone...Football is a game of chance(waweza shinda,shindwa ama sare)......Ila tu kaa ukijua kwamba mpaka sasa ubingwa hauna wake,bado tuna nafasi ya kuwa mabingwa tukifanya vizuri katika mechi 13 zilizobaki
The way unavyoongea ni kama vile Chelsea na Manure ndio watapoteza mechi tu, na nyie hamtapoteza hizo mechi 13 maana zote ni "nyepesi". Tusubiri tuone kama kuna mechi nyepesi EPL.