suala si tu kuproduce wachezaj bali kuproduce quality players...si tu kutoa idadi kubwa ni bora kutoa wachezaj watano quality kuliko 34 flops
Naona unawaongelea goons...maana yenyewe hata hao wachezaji watano quality imeshindwa kuwazalisha 🙈
ktk hawa...hkn world class player...na kina richardson,bardsley,fryers,simpson,gibson ni flops kbs angalau welbz,oshea na brown
Uyo jamaa kila anapojaribu kutafuta kichaka kinakosekana anabaki kubadirika badirika kama kinyonga...me nimeshaachana nae maana mwisho wa siku atasahau kile alichouliza au alichokisema huko nyuma
Mkuu wenye timu wenyewe wameiwekea City shilingi
Ahsante sana Mkuu, leo najua fika kwamba wapenzi na mashabiki wa Chelsea na MANU wote watakuwa wanatushangilia kwa nguvu zote ili tupate ushindi dhidi ya Man City. CC: everlenk, Honey Faith, utafiti na wapenzi wote wa soka hapa jamvini. Wellbeck, Sachez, Walcott kama wote wataanza pamoja basi tutaiweka ngome yao kwenye pressure kubwa sana na lazima tuzione nyavu zao at least once before half time.