Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Halafu ujue nilisahau kama wewe ni mwenzangu,nitakua nakuita sasa kama ni furaha tufurahi wote and vice versa

uniite tu maana dah huku mi sipitagi sana ila mi arsenal mshabiki wa damu gwijimimi we timu gani?kule UK?
 
Last edited by a moderator:
Kipa wa Arsenal Woijciech Szczesny amepigwa faini ya pauni elfu ishiriki kwa kuvuta sigara akiwa bafuni baada ya mechi dhidi ya Southampton, siku ya mwaka mpya walipofungwa 2-0
 
Reactions: Nzi
Huyo Di Maria hata hizo mechi chache alizocheza hakuwa na msaada mkubwa kwenye timu kama tulivyotegemea.

Kama mlivyotegemea na nani, goons wenzako? Sasa yeye kuwa hana msaada kinakuuma nini?

Goons naona una stress na mid-table team yenu...

Ana assists 6, mbili pungufu ya Sanchuzi aliyecheza mechi zote za goons hadi League Cup!!
 
Alikaa misimu mingapi Santiago? Na miezi mingapi na Man United? Hivi tathmini yako inazingatia nini zaidi?
Ova

Aya tunaanza sasa: Diego Costa ana misimu mingapi Chelsea? Sanchez ana misimu mingapi Arsenal? Cesc ana misimu mingapi Chelsea? Au Di Maria gari la mkaa linakolea mdogo mdogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…