Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yeah! Kwa jinsi jamaa walivyokuwa wanashambulia zile sub zilikuwa muhimu sana ili kuongeza nguvu kwenye defence, hasa ukitilia maanani kwamba defence yetu iko weak.

duuhhhh!! babu wenger sub zote anazofanya ni za difence.
 
Afadhali,at the end points tatu muhimu tumebaki nazo sisi.
Pole Viol leo nimeshinda mimi kwa utabiri

Vise versa yako uliyosema imetimia,hongereni
 
Last edited by a moderator:
Wenger anatucost sana na Sub zake za kujaza mabeki siku hizi
 
Karibu sana, tunakusubiri kwa hamu kubwa sana. Najua utatuletea bahati na hivyo kuendelea kufanya vizuri katika ngwe ya pili ya EPL katika msimu huu na pia katika misimu ijayo ya EPL.

Mwakani itabidi nianze kushabikia washika bunduki.

This I promise you my friends
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…