Acha kabisa dakika za mwisho ni nzuri sana na ni mbaya sana,zikutumiwa vizuri huleta matokeo mazuri maana timu zote zinakuwa kwenye tension kubwa,dah unanikumbusha machungu ya Argentina kukosa Ndoo kwenye world cup dakika za mwisho zikabadilisha mambo.
Arsenal walishinda baada ya S'pton kufanya substutions tatu, so yule beki wao alivyoumia na kutoka wakawa wanacheza pungufu na Wajukuu wa Wenger wakafungia hapo.
We have seen the worst of Man Utd lakini huweziamini they are on top of Arsenal.
,Umeona eeh!! Dakika za mwisho kibao kinaweza kugeuziwa kwako, machungu yake si ya kawaida. Na wale Southhampton ni wazuri mwaka huu, si vibonde tena.
,
Katika maajabu saba ya ligi hii Southampton nao wamo,kwa kweli wameishangaza dunia haswaaa hawa jamaa wakitulia wanaweza kutufanya tushangae zaidi.
Loh!! Tunapiga story za timu nyingine usije nifukuza bure kwenye thread yenu,😀😀😉
Hahahaha!!! Umeona eh? Na bado tutawashangaza dunia zaidi.
Inabidi wamtaliki mtu. Painful divorce but they have to.
Muda ukifika divorce ni lazima ataondoka tu.