Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nilidhani itakuwa sare nyingine ya 0-0, 6 more matches to go before the end of 2014.
 
Doh! Watu mnachungulia hata game yenu?!?

Mmeshinda aisee...tokeni mafichoni...

Naona #WengerOut inafifia sasa...washabiki wa Goons ni kama waTZ, wazuri sana wa kulalamika, halafu wepesi sana kusahau...
 
Naona #WengerOut inafifia sasa...washabiki wa Goons ni kama waTZ, wazuri sana wa kulalamika, halafu wepesi sana kusahau...

Wanaogopa having a painful divorce with Wenger.

Anyway, Wenger ka-target to win the Premiership within two years.
 
Hongereni wakuu naona si haba mnapiga hatua kibishibishi.

Cc BAK
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
I wish game ijayo tushinde,west ham atoke japo draw na man u afungwe....

Kwenye kufungwa Man United itoe hapo. Tulishaachana na mikataba ya kupoteza mechi, zimeshatosha sasa.
Ova
 
Aisee nilishakata tamaa baada ya golikipa kuokoa goli tatu za dhahiri, kuna mechi 6 nyingine mwezi huu na mkakati ni kushinda mechi zote hizo na hivyo kujizolea 24 points out of 8 games in December. Hongera nawe naona mambo si mabaya ila sikuiona mechi yenu.


Hongereni wakuu naona si haba mnapiga hatua kibishibishi.

Cc BAK
 

Ndo maana tunasema mpira ni dakika 90,kwa kweli hata nasi mkakati wetu ni kuishangaza dunia toka mtaa wa kumi na kitu mpaka mtaa wa 4 si mchezo!! Hope tutafanya maajabu zaidi.
 
Reactions: BAK
Wenger kiboko yao... Ajira yake ipo pale pale

Kiboko kwelikweli,hadi nimesahau na mimi....Sasa hivi ni bring back our Wenger wa kipindi kileee cha 2003-2005
 
Hahahahaha lol!!! Nimeitumia sana hiyo kauli ya "mpira ni dakika 90" lakini haya magoli ya dakika za mwisho nomaaa kama mpenzi unakuwa kwenye pressure ya hali ya juu, nadhani hata wacheza na Wenger walikata tamaa na kudhani ni sare nyingine.

Ndo maana tunasema mpira ni dakika 90,kwa kweli hata nasi mkakati wetu ni kuishangaza dunia toka mtaa wa kumi na kitu mpaka mtaa wa 4 si mchezo!! Hope tutafanya maajabu zaidi.
 
Hahahahaha lol!!! Nimeitumia sana hiyo kauli ya "mpira ni dakika 90" lakini haya magoli ya dakika za mwisho nomaaa kama mpenzi unakuwa kwenye pressure ya haki ya juu, nadhani hata wacheza na Wenger walikata tamaa na kudhani ni sare nyingine.
Acha kabisa dakika za mwisho ni nzuri sana na ni mbaya sana,zikutumiwa vizuri huleta matokeo mazuri maana timu zote zinakuwa kwenye tension kubwa,dah unanikumbusha machungu ya Argentina kukosa Ndoo kwenye world cup dakika za mwisho zikabadilisha mambo.
 
Reactions: BAK

Arsenal walishinda baada ya S'pton kufanya substutions tatu, so yule beki wao alivyoumia na kutoka wakawa wanacheza pungufu na Wajukuu wa Wenger wakafungia hapo.

We have seen the worst of Man Utd lakini huweziamini they are on top of Arsenal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…