Arsenal (The Gunners) | Special Thread

in ARSENE WENGER we trust.......abaki tu tujipigiee!
 
Arsene Wenger sends out clear message to Arsenal critics
after defending his managerial abilities​


Arsenal haiongozwi na wezi ambao wamepata utajiri wa kuiba na kukimbia nchi zao. Inaongozwa na wasomi kwa hiyo hizi kelele za warusi ambao wanafikiri kila timu ni ya kununua tu hazitasaidia kitu. Arsene Wenger haendi kokote hadi pale atakapoamua mwenyewe kuachia ngazi. Alikuja Gunners kwa mission na hiyo mission bado haijaisha. Wasiomtaka wahamie timu za maharamia huko ndiko wanaelewana vizuri zaidi. In Wenger we Trust COYG ... .... na yeye sio prof maji-marefu kama kina flani.
 
And to those who play at the cow shed ... .... .... this is your message .. ... ..


Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee unaniumiza weye ..... ..... ....
 
Duh na injury hizi sijui kama wale watoto watatuacha leo,hii na kati ya Desemba mbovu sana
 
kama hatuna uwezo wa kuifunga Man u na Chelsea hata Saints Babu atauachie timu. ushindi Leo ni muhimu sana katika mbio zetu za kuwa top 4.
 
Habari Gunners....

Nawasalimu katika jina la Yesu....

Tupo pamoja...Majukumu yamebana kidooooogo...

Together We Stand...

Bala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…