Kati ya makocha wapuuzi huyu nimmoja wao, kila wakati anafungisha, hawezifanya mabadriko kwa wakati muafaka na
nimbaguzi kwanini camble hampangi ilhali ni mtu muhimu sana...... Asernal tunachokeshana tu.
hata Alexis Sanches anachezea Arsenal mkuu....
Nilikuwa nakuangalia tu mpaka mwisho fujo zako zinaishia wapi nikaamua tu nisije maana ningeinajisi jumapili yangu.......
N.B still in gunners you trust??????:D😀😀😀😉
Ahsante sana kwa kuliona hilo. Kwanini umsajili Campbell kama unataka kumweka bench kila mchezo si angemuacha tu ili aende kwenye timu ambayo kocha atamthamini? Maamuzi yake kwenye usajili na substitutions yamekuwa kikwazo kikubwa cha kufanya vizuri miaka nenda mika rudi. Kwanini usitumie MO (momentum) baada ya kupata goli na hivyo kuongeza mashambulizi ili kuongeza bao moja zaidi kama siyo mawili anaenda kumuingiza tukiwa nyuma 2-1. Kuna tofauti kubwa ya kisaikolojia kwa mchezaji anapoingia huku timu yake ikiwa inaongoza ukilinganisha na ikiwa nyuma. Huu mchezo wa leo wa kubeba lawama ni huyu kocha ambaye kwa kweli amekosa muelekeo wa kuinyanyua timu ili iweze kushindana na timu bora EPL, UEFA na hata duniani.
Kila la heri Mkuu mkiweza kuimaintain hii pace mpaka Xmas na New Year basi itakuwa vigumu sana kwa timu yoyote ile kuwanyang'anya tonge mdomoni, labda mpate majeruhi ya star players tena ya muda mrefu.
[h=1]Arsene Wenger: Chelsea appear unstoppable says Arsenal boss[/h]
Arsenal boss Arsene Wenger believes no team is currently capable of catching Premier League leaders Chelsea.
The Gunners lost 2-1 at Swansea on Sunday to slip 12 points behind Jose Mourinho's unbeaten side.
Chelsea have won nine of their 11 games this term and have 29 points - four more than second-place Southampton.
"If they keep that up nobody will touch them," Wenger said. "It doesn't look like anybody is capable of challenging them at the moment."
Arsenal threw away game - Wenger
The Blues fought back from a goal down to beat Liverpool 2-1 at Anfield on Saturday and Wenger believes they are team full of confidence.
Khe khe khe khe...and what about your team Wenger?
BBC Sports
there is light at the end of tunnel. ...bring back the invisibles!
RRONDO. ..great peoples have achieved great things merely on dreams!we did it once. ...While all u thought impossible
OG is back in training
COYG
Kheeeeeeeeeeeeeeeeeee atamuweka bench mshambuliaji mwenye mafanikio zaidi kwenye kikosi cha Arsenal welbeck (Ana mataji mengi kuliko kocha wa arsenal)