nimeshangaa timu kubwa wachezaji wakubwa imekwaje,nomaDah! Mnavyotia huruma, hata kuwacheka siwezi.
Heri ya United tunajua shida yetu ni nini, kuliko goons wanaojiona wapo kamili kumbe shida ni Aseni Chenga.
Fukuzeni kocha huyo, kaishiwa.
Na tutakapokuja Imarate kuwakalisha ndiyo mtaipata fresh.
#WengerOut
Si mlikuwa mnadai Chembaz ni bonge la beki?!? Na Flamini ni kisiki?!? Imekuwaje sasa?
Tatizo ni kocha arifu..timueni huyo Aseni Chenga...
Hajhahaa hamjashinda nakuoa rasmi
Wamepata bahati tu na kusaidiwa na refa.
Wamepata bahati tu na kusaidiwa na refa.
Kocha anaitwa ArsenalKati ya makocha wapuuzi huyu nimmoja wao, kila wakati anafungisha, hawezifanya mabadriko kwa wakati muafaka na
nimbaguzi kwanini camble hampangi ilhali ni mtu muhimu sana...... Asernal tunachokeshana tu.
Wamepata bahati tu na kusaidiwa na refa.
Leo naona jukwaa lote lako...wewe subiri tu next week nakuoa pia....
Hana lolote huyo ameanza kushabikia timu alipojiunga JF kabla ya hapo alikuwa hoehae. Tajiri akifa na timu anayoshabikia inakufa.
Pole mkuu,kila mkifungwa hiki kisingizio ndio unakumbuka