Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger ni mwehu huyu mzee...Mwenzake anafanya sub yeye anakaa kuchora ardhi tu...

Dakika ya 80...

Eti ndo anafanya double sub dakika ya 80...
 
Arsenal wapo kwenye risk kubwa Jamaa wapo vizuri sana kwenye winga na tayari mabeki wote wa pembeni wa Arseanal wana kadi za njano wakienda vibaya nyekundu haichezi mbali
 
LoL!!! Hahahahaha unataka kumuoa au KUMUWOWA!
BAK kiswahili sahihi ni kumwoa na si kumwowa,kuoa na siyo kuowa,..naombeni nikabidhini my queen nifah
 
Last edited by a moderator:
Refa bana yeye anaona zaidi kuliko mtu ambaye yupo 2 metres ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…