Umekuja huku kwenu kuna njaa? khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Huyo refa anafahamika kaminya faulo kwa Ox na kawapa Swans set piece .. .. .
raha ya mpira kuwe na upinzani,mi chelsea je mtanipiga mawe humu?
leo nabana pum...bu mwanzo mwiho mtoe dro
Angalia sisipasuke tu
Dakika ya 20 bado ni bila bila na jamaa wamekamata kweli katikati.
Hahaha hazipasuki nimejiandaa,mna kazi majamaa wanapiga mpira mzuri
Acha hizo wewe....mpira ni dkk 90
leo nipo humu kama bundi sitoki hadi mtu afe....
Naomba tubet mkifungwa nakuoa
Hahahahaha hapa nilipo presha yakufungwa lakini umenifanya nicheke sana
Hahaha mpaka ndoa tunabet gharama za maisha zimepanda pacha