Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Timu majanga mmpooo!!! Muchezee dudu ya kukojilea kama mwenzenu xity!!
 
Sunderland wamepaki basi leo wanategemea counter attack tu, kile kipigo cha wiki iliyopita kimewafanya wasivinjari .. .. .
 
Sunderland wamepaki basi leo wanategemea counter attack tu, kile kipigo cha wiki iliyopita kimewafanya wasivinjari .. .. .

Kimewachanganya sana kile kipigo cha last week nahisi watatupa tabu sana kuwafunga leo ingawa naamini wataachia tu
 
Mdudu Nzi anachungulia kwa mbali huku akiruka huku na kule kuzengea mzoga. Mdudu hakuna mzoga leo wafikishie ujumbe huu na #Mburukenge wote wa jukwaa hili mwanana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…