Ninavyoona Chambers hawezi kucheza vizuri RB kama anavyocheza CB. Jamaa hana kasi za kucheza RB naona anakimbizwa mchakamchaka na wingers wa Aston Villa
Leo tumeanza vizuri timu inaonana tatizo ni umaliziaji, wakifika eneo la hatari wanapoteza mipira kiurahisi-rahisi Aston Villa wanabana sana nyuma kama wanavyotakiwa