Khe khe khe khe #TeamArsenal mjue mwaka huu tuna timu nzuri sana kama tutaweza kuepuka majeruhi ya kutisha na kuacha uzembe wa hapa na pale ambao mara nyingi husababisha kupoteza mechi ambazo hatukustahili kupoteza basi mwaka huu tutakula sahani moja na akina MANU, MANC na Chelsea na hata kwenye UEFA hatutakuwa pushovers kama miaka ya hivi karibuni.