You know nothing about football weye!!!! Vinginevyo usingerupuka eti umetusiwa. Unajua hilo neno la #Mburukenge limeanza kutumika lini hapa jamvini!? Mbona hakuna aliyewahi kulalama kabla yako!? Acha kukurupuka banaaaa!!!!
CHELSEA FC 6 - 0 ARSENAL FC.
safi sana..tukutane uwanjani..
Habari Gunners...
Natumai mko salama na mnafuatilia Brazuca kwa karibu...
Hivi ni kwa nini AW hamrudishi Joel Campbell?
Dogo yuko vizuri sana
babu alisema atamrudisha pindi atakapopata kibali cha kufanya kazi u.k
Kibali alipata tangu July , 2013 mkuu....
kama alipata atamrudisha maana hata kumpeleka olimpiakos ilikua ni kukosa work permit
Well, hope alikuwa uwanjani live kazi kwake.
mkuu BAK mwenzio ndio kagugo juzi haya matokeo alikuwa hayajui so mwache afurahieeeee,ila kasahau kugugo yale ya 5 za pale darajani akikumbuka atatulia
Nadhani mliotazama gem ya japan na ivorycoast mmemwona serge Aurier alivopiga krosi 2 mujalabu zilizozaa magoli. Sasa lile jembe babu analileta next week kuziba kiraka cha sagna
[/QUOTE]Emmanuel Adebayor,
Kolo Toure,
Gael Crich
Samir Nasri,
[QUO
TE=agosti 8;9813297]
Ila kwa huyo Serge Aurier itabidi tufanye fasta maana akifanya vizuri tu, bei yake itapanda zaidi na babu bahili. Ila dogo ni shabiki wa Arsenal hivyo ikatokea tumempata, atakuwa ni mtu ambaye anacheza kwa upendo wa timu. Ni JEMBE kweli.
Unachekersha sana weye!!!! Unakuwa kama kipofu aliyefumbua macho kwa mara ya kwanza na kukutana na mambo ambayo alikuwa hayajui kama yapo duniani. Matokeo ya hiyo mechi ya miezi chungu nzima eti weye #Mburukenge ndio unashangilia leo!!!! Hahahahaahaha lol!!!! Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya #Mburukenge kipofu. Haya endelea kuonyesha #Umburukenge wako.