Kweli mkuu, penati sio za kuamini... tulitakiwa tuwe tumeshawamaliza hadi sasa. Tatizo nyuma walianza wakiwa nervous kinoma na bado kuna unervous fulani...
15 minutes za mwisho zinakaribia kuanza, hapa lazima goli lipatikane ili kuepuka maguu 18 ya mtu mzima mwenye akili timamu ambapo lolote linaweza kutokea.
Dah #Mburukenge watachonga sana wapo hapa wanachungulia kwa mbali wanasubiri wavamie kuja kutuzodoa. Hahahahahaha 3-2 daaaahhhhhh! Pressure imeshuka sasa Daaahhhhh!