Wala sio uongo marefa kama huyu wanabidi wapewe adhabu kali ili waache uhuni wao. Wanaharibu raha ya kandanda pale ambapo wanaacha kufuata sheria za kazi zao.
Mbona husemi ile kona iliyoleta goli la 2-2? SirNoGoal ndiye aliyekuwa wa mwisho kuugusa mpira. Hivyo, ilipaswa iwe goal kick, lakini ikawa corner kick!!