Wenger kawa mnene kwa Penalt Arsenal wangewapa waengereza kupiga kina OX pira tungeliokota humu jamiiforum! Welldone Arsene Wenger washabiki walitaka kumuuwa! Ila nafikiri Arsenal Fan wakumshukuru sio Martasaker ni Wenger na Sanogo ndio waliotoa jasho kubwa la bidii.