Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mwaka huu ligi ni ngumu sana, ubingwa utaamuliwa na mechi ambazo watu hawatarajii kabisa, ona Liverpool imekaa juu ya arsenal na wako vizuri sana kwa sasa. Acha tuone kufika mwisho itakuwaje ila timu zote nne yaani arsenal, man city, Chelsea na Liverpool any one among of then can be 2013/14 champion.
 
Mkuu una moyo sana kubishana na huyu mtu...ana makelele sana!! Mwache abwabwaje ndo style yao hawa #TeamMburukenge ....!!
Mwone huyu...anadhani kukabidhiwa kikombe ni sawa na kupewa BigG dukani!! Team yenu bado iko hovyo sana!! Na tutawapiga kwenu halafu tuone ndoto zako unazoota mchana hizo... #TeamMburukenge
zilete hizo post.
Achana na huyu mtu mkuu...mwache apakue JF yote hawezi kurudi hapa ni makelele tu Ntuzu
Ni kama kasign mkataba kuongeza muda wa kukaa Arsenal bila vikombe. Huyu mzee balaa haki ya nani!!!!



Mkuu, nimeipenda Arsenal tangu utotoni, siijui timu nyingine (UK) zaidi ya hii, nna hali mbaya kweli haki ya mama!!!!!
Mkuu usife mouo ni mapema mno kuanza kulialia au kupoteza ufahamu...zimebaki game zaidi ya 10...points zaidi ya 30...lets fight together till the end. Be DieHard Bro!!
wE UMEONGEA LA MAANA..mbio za ubingwa bado...hao Chelsick ni wagonjwa sana kuanza kuota ubiingwa now...we gona bounce back soon!!
 
Last edited by a moderator:
Kitendawili: mwezi wa kwanza ilikuwa ya kwanza,mwezi wa pili ilikuwa ya pili,mwezi wa tatu imekuwa ya tatu???
 
Ktk Siku ulizonifurahisha ni Leo!

Jamaa zako wamo Wengi humu walikua wanatangaza Ubingwa! Ngoja ntakuletea post zao!

Kweli arsenal wanafurahisha sn!

hahah sasa hivi arsenal wamebadili kauli zao wanaleta habari za arsenal kaboresha uchumi wa klabu mara kailetea klabu faida,sasa mambo haya sijui yanawasaidia vipi washabiki wa arsenal wakati priority yao msimu huu ilikuwa kuchukua kombe
 
Arsenal wanaelekea kwenye nafasi yao ya asili waliyoumbiwa na Muumba. Naona Liverpool wameshawapisha, soon Mancity nao watawapisha.
 
Tunazubaa kuwaangalia losers Man city na kumbukumbu ya kipigo cha Arsenal jana...hawa Sunderland wana jezi kama Stoke wananichanganya nahisi ni game yenu ya jana lol...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…