Nilisema hapa kuwa hata kama Man U itakuwa mbovu kiasi gani ni vigumu sana kufungwa na Arsenal...na kama Man U leo wangekuwa wazuri kama misimu ile mingine basi wangetupiga hata bado sita. Arsenal ni timu yangu na naipenda sana...lakini ukweli ni kwamba Arsenal kwa Man U ni kama mbwa kamuona chatu.
Naona Steven Gerad anawapatia Liverpool goli la 3 Fulham 2...inakwenda dk ya 93