Meneja wa Crystal Palace bwana Pulis ni mjuzi wa mipira mirefu lakini naona kwenye timu hii anasisitiza kutuliza mipira chini na sio kama kule Stoke timu aliowahi kuiongoza.
Arsenal need to inject a quickness in their play in the second half. We need to win this game before City and Chelsea play tomorrow. We can't afford to drop another points before we meet Liverpool and Man utd
Arsenal itabidi wakiingia pindi cha pili washambulie zaidi kwa kutumia nafasi za pembeni na pia Oxlade Chamberlain acheze kwenye moja ya nafasi za pembeni na nafikiri aende upande wa kulia.
Dakika ya 47 kipindi cha pili Santiago Cazorla anapenyeza pasi ndefu ambayo inamfikia Alex Oxlade Chamberlain ambae anaimudu na kupaisha mpira juu ya kipa Speroni na kuukwamisha mpira wavuni.