Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dakika ya 60

Arsenal 2-0 Coventry

Bendtner anakosa...

Duh...Ozil hilo pande...
 
Sasa jamaa wanakuja na bango linasema "keep coventry in conventry"
 
hawa conventry wanaweza kurudisha goli moja... Naona timu ya leo imejengwa na Wajerumani 5 na waingereza 4. No more French connection kama enzi zile.. sitoshangaa kumuona kocha wa kijerumani (maybe Klopp) akichukuwa timu baada ya Wenger.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…