ni fans wa Conventry mkuu ndio walioonyesha mabango ya Why na inasemekana wameyaonyesha hayo mabango kwasababu wanaamini mechi hii ilitakiwa ichezewe kwenye uwanja wao ndio maana wamenyosha mabango yao ya WHY? Huku wakiwa na bango lingine lililosema Take us Home. Na pia inasemekana kutoka mji wao hadi london ni 35 miles and that why waliinua mabango yao dakika ya 35.