Liver keshagongwa la pili huko kwao...muanze kujiandaaa kiakili ChelsickUshindwe na ulegee kwa jina la mahaba!
Liver keshagongwa la pili huko kwao...muanze kujiandaaa kiakili Chelsick
......#MwendoMdundo ,
Big Up kwa Gunners wote,
Dahhh, ajabu leo nilidhani game
Linaanza muda huu...
Anyway, hapajaharibika neno.
#TeamMburukengeUnited na cpt Nzi |
Siku hizi kimyaaaaaa....
#Weshazoea maskini, mwenzenu #peasant alishajizoelea na mapeeema!
Kwa kwa kwaaah!majibu mengine!
Wew jaguar na Pierre Fm Hamna lolote mnakimbia!
Hahahaha tatizo Ntuzu alikuja kuganga njaaa na matokeo yake kaangukia pua.
Hahahahaha mkuu upo?? Sisi bhana tumerejea kwenye nafasi yatu ya kila siku.
Hapo Lazima mtatoka tu!