Nyaluhusa87
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 1,303
- 262
Naona podoski anataka kuingia
Yaani sielewi kabisa Wenger kwa nini anamng'ang'ania Giroud wakati mara nyingi anaharibu.Giroud kaumia...Atolewe sasa aingie Podolski
Huyu naye ana magoli yake.Naona podoski anataka kuingia
Anaweza akaibuka na goli.Huyo ndo podoski shot mbili tayari hii ya pili imegonga mwamba