Teh teh..Mi nipo bwana sikimbii na kulitelekeza jukwaa kama wewe,kama kawaida yangu nasubiri dakika 90..Liverpool hawajacheza game ya kutisha sana so twaweza kusawazisha 2nd half na kuongeza pia