Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa hiyo furaha yenu ni kuwa kileleni?!? Vitimu vidogo bana...malengo na matamanio yao uwa ni madogo kama vitimu hivyo...

Hongera kwa kuchukua ubingwa wa mwezi Oktoba...
Chifu.....

Inaonekana unaongea kwa jazba na kijiba.....

Tangu lini Arsenal ikawa timu ndogo?....

Arsenal hii hii ambayo UEFA huiweka ya kwanza kwenye vile ' vyungu ' vyake leo hii wewe Inzi unaiita timu ndogo kisa ipo kileleni na Man Utd inashika nafasi ya 8 wewe unaiita timu ndogo!!!!

Arsenal hii hii ambayo imechukua ubingwa wa England mara 13 na vikombe vingine kadhaa wewe leo unaiita timu ndogo!!!....

Arsenal hii hii ambayo iliweza kuchukua ubingwa wa England bila kupoteza mechi msimu mzima wewe unaiita timu ndogo!!!....

Arsenal hii hii ambayo kila mwaka inafuzu kushiriki UEFA CL wewe unaiita timu ndogo!!!!....

Arsenal hii hii ambayo mechi yake na Man Utd imegeuzwa ya utani wa jadi kama ilivyo ya Simba na Yanga kiasi cha kuzifunika mechi za Man Utd Vs Man City , Man Utd Vs Liverpool, Arsenal Vs Tottenham na Liverpool Vs Everton wewe unaiita timu ndogo!!!!....

Arsenal hii hii ambayo ilikuwa na kikosi kinachoitwa ' The Invincible ' wewe unaiita timu ndogo!!!....

Arsenal hii hii.......

Aaah Chifu.....Wacha kijiba cha roho bana....

Mwambieni Daudi abadilishe mfumo wa upangaji timu na ufanyaji sub ili timu ifanye vizuri...Giggs aungane na akina Neville kumsaidia katika coaching.....Uwanjani awaachie akina Kagawa(mchezaji mwenye kipaji ambaye Daudi anakipuuza) , Zaha na wengine anaowaweka benchi....Halafu asidhani Man Utd ni Everton, Fellaini awe anamuingiza 2nd Half....

Msiichukie Arsenali kihivyo jamani...Tatizo sio Arsenal....Tatizo ni coach wenu bwana Daudi....
 
Hahahaha teh teh teh teh kwi kwi kwi kwi kwi hi hi hi hi yani ni raha tu!wale wataarabu wana neno moja hivi!MTAJIBEBA mwendo mchibuyu!
 

Duh mkuu hili umelirusha kama dongo ingawa mistari yake almost ni ukweli mtupu...ni la moto kulidaka aisee!!
 

Mkuu watu wa ManEverton hata wakifungwa Jkt oljoro watakuja kuishutumu na kuisakama arsenal.
 




Pleased as punch - Arsenal boss Arsene Wenger
rates Wilshere's goal as the best during his time at the club














Ramsey .... ... ... . .















COYG ..... ......
 
"We scored a fantastic first goal" said Wenger. Its a combination of skill, speed of reaction and coolness in front of goal. I think it will travel a lot and be seen by many people. It was one of the best I've seen, a mixture of technical quality and quick thinking. All the goals were great but the first was exceptional."
Hahahahahaha hayo ni maneno ya Prof Wenger akiongelea goal la JACK WILLPOWER.
 




Still plenty of room for improvement,
warns Arsenal hitman Aaron Ramsey


''I think there is more to come, I'm still only 22, I still need to do better and learn a few more things but the boss [Arsene Wenger] is telling me about that, things like positioning defensively,' said the midfielder. ‘So there's definitely more to come and I'm looking forward to that. When you haven't got the ball, while we're defending – sometimes I am not always where I need to be.

‘I need to be playing well, be involved in the game and taking these games by the scruff of the neck and keep doing the things I've been doing.'













Prof Arsene Wenger believes Arsenal can only get better
as they continue to compile victories ... ......





Kama kawa vijana watakuwa gado Colney
kujiandaa kwa mtanange wa Borussia ..... ...


 
haters wataumbuka sana mkuu

Timu inacheza vizuri,inaongoza premier league na bado wanafunga magoli mazuri ya mfano wa kuigwa ndio maana mashabiki wa arsenal hatuoni hatari kwa miaka yetu ya ukame tuliambiwa uwanja huu wa emirates unatakiwa kuja kuchezewa na wachezaji wa kiwango kinachofanana na ubora wa Emirates Stadium
 



Unafahamu kesho ni lazima tuwabangue Borrusia ..... ...
Fanya kazi yako kwa umakini .... ... .. ..



Concussed: Mathieu Flamini was forced off
in the game against Norwich on Saturday






Knock on the head: The midfielder, posing with striker Olivier Giroud,
will take no part against Dortmund


Listen up - And he gathers his players round for a chat


Mtanange utakuwa wa kukata na shoka
asie na mwana aeleke jiwe ..... .
COYG!

 
Ooops ... .... ... ....



Pick that one out - Prof Arsene Wenger sorts through
the bibs at London Colney
 




Inzi alikuwa anamwota huyu kijana usiku kucha
ndio chababu kachelewa kufanya unoko
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kwa hiyo furaha yenu ni kuwa kileleni?!? Vitimu vidogo bana...malengo na matamanio yao uwa ni madogo kama vitimu hivyo...

Hongera kwa kuchukua ubingwa wa mwezi Oktoba...

sa kama ni kitimu kidogo mbona hukauki humu, uende kwenye timu kubwa
 
"I won't do anything to celebrate my birthday,"
"A good game for me is the best present. I get cards, phone calls but, honestly, if nobody reminds me I forget. Even when I was 25 or 30, I never thought it as a special day."
~Arsene Wenger
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…