Ukifungwa ndo akili za kuandika point kama hizi zinakurudia kwa brain,chezea man city,utalala na viatu!Bongo pundits bwana! Gemu 5 tu washaanza kusema timu libovu!! Hadi sasa ni points 15 tu ndiyo zimetafutwa; bado zipo 99 ambazo hata bingwa uwa ni nadra kuzifikia!!
Game styles ubadilika kutokana na timu zinavyocheza. Sasa kama wewe ni mfuasi wa soka huwezi kutumia matokeo ya jana kama benchmark ya matokeo ya United vs. Arsenal. United vs. Arsenal na United vs. City ni games 2 zilizo tofauti sana. Unakumbuka ule mwaka United ilivyowapiga Arsenal 8-2, kisha ikapigwa 6-1 na City? Sasa hapo utasemaje?!?
Tuombe uzima; tusiandikie mate. Novemba 10 jibu litapatikana.
Ligi ni sawa na mashindano ya marathon na si ya sprinting kama akina Usain Bolt. Hivyo hizo games 5 si kiashiria kizuri cha kujua kama timu itashinda marathon.
Ukifungwa ndo akili za kuandika point kama hizi zinakurudia kwa brain,chezea man city,utalala na viatu!
Nzi
Sasa tuje kwa Moyes, he's an experienced coach for a mid table team, hajawa na experience ya timu kama manu, swali linaulizwa na soccer fans, je ataweza kufikia heights alizofika babu, it took SAF 3yrs to bring a silverware, do u think Moyes will be given such a time?
Era ya SAF ishapita; Man United has to move on and avoid moving on with SAF's shadow on their minds.
Fans kuwa na maswali kama hayo ni kawaida na inaeleweka. Kwa sababu kwa muda mrefu United ilikuwa inahusishwa na SAF.
Yes, experience kwa kocha inamatter; ila nyakati zingine uwezo wa timu pamoja na management nzima inaweza kumbeba kocha hasiye na uzoefu. Maana kwa mpira wa Uingereza, Moyes ni meneja tu; kuna makocha ambao wanafanya kazi ya karibu zaidi na wachezaji. Ingawa mara nyingi managers ubadili timu wakiwa na coaching staffs wao.
Mimi naona David hatostruggle kama SAF alivyoanza. Kwani mpira sasa ni wa pesa; hivyo bwana Edward Woodward akimwaga pesa za David kusajili wachezaji wakali basi, atakuwa na mtihani mdogo kuweka alama yake pale OT.
Hivyo, tusubiri pale Mei.
Watu watalia sana mwaka huu..........
Msimu wetu huu wewe.Kweli. Maana mmelia sana nyiye...angalieni tu msiendelee kulia.
Msimu wetu huu wewe.
Kombe la mbuzi ndio kwanza linaanza ... ...T5 na Arteta ndani pamoja na Gnabry .... ..
Fabianski, Jenkinson, Mertesacker, Vermaelen, Monreal, Miyaichi, Hayden, Arteta, Gnabry, Eisfeld, Bendtner. Subs: Flamini, Park, Akpom, Bellerin, Olsson, Iwobi, Viviano.
COYG .... ....
Umeshaanza kujenga hoja mapema kuwa hili ni kombe la Mbuzi ili mkilikosa iwe ndo kisingizio
Umeshaanza kujenga hoja mapema kuwa hili ni kombe la Mbuzi ili mkilikosa iwe ndo kisingizio
Kabati limekuwa tupu since 2006