Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mmmh!! Nilikuwa sijui kama Arsene Wenger ni DHAIFU kiasi hiki.!! Inawezekana vipi alazimishwe na Ferguson kuuza mchezaji wake muhimu zaidi? Au ulikuwa unamaanisha alishindwa kujizuia alipowekewa pesa mezani.

Paundi milioni 24 kwa RVP mwenye umri wa miaka 30 hazikuwa haba.

Safari hii hakuna mauzo tena.
 
Dah! naona unawashwa sana inaelekea hujapata bahasha muda mrefu


Summer of rumour mongering, if somebody fails to answer a simple question then you know why he supports mashoga. I got my answer, you are one of them ... ... ... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee conglatulations. I rest my case, but this was known from long time ago .... .... play with .. ... .. shogas ... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee



BTW Nachikia Manure wameanza kuweweseka ati wanataka kumnunua Cesc. Phew! What a joke!
 
Wakuu summer ndio hiyo timu zote zinaweweseka na usajili Prof katulia kama pishi la udaga, tayari anakamilisha usajili wake ambao ni siri kubwa wala usisikie mata-bloid ya UK wanawanga wanga kutaka kufahamu prof atafanya nini. Kitaeleweka tu msimu huu. mzee wa bahasha kafukuzwa, Mancs mdebwedo Chelsick hawana mbele wala nyuma .... .... .....

COYG
 
Reactions: BAK
Mhhhh!!! Mkuu Wacha1 kimya chake huyu kinanitia wasiwasi sana. Miaka yote huwa kimya hivi hivi anapoanza kubwabwaja ni pale yamebaki magarasa tu. Yule Benteke kishasema mapenzi yake ni kuchezea Gunners msimu ujao, Mungu atupe bahati gani tena!!! lakini hadi sasa hivi hakuna lolote!!! Kimya!!! Mwisho ataona labda hatakiwi maskani. Ngoja ifike mid July Vitu bab kubwa vyote vimeshawahiwa ataanza kubwabwaja tena. Nani anateyaka kwenda kwenye timu ambayo kila mwaka inapoteza top players siyo kwa Gunners tu bali katika EPL.

 

Huyu mzeeni kichwa maji. Atasubiri tufungwe mechi tatu nne baada ya kuanza ligi kuu ndo asajili zide dakika za mwisho!!!!
 
Reactions: BAK

Umepima malaria lini kwa mara ya mwisho?
 


Usitie shaka Prof knowns ndio sababu husda ya Englanders kuona kwa nini Prof alipwe mamillioni ya mpunga wakati yeye ni Mfaransa. Angalia mameneja wa kiingereza akina oops no names wanavyovurunda .... achilia mbali timu ambayo inakula matapishi yake pale kwenye Cowshed.

Ni juzi tu walikuwa wanataka kumsaini Cesc chacha kumbe hawakujua Prof alifanya nini kwenye ule mkataba ... ..... bora Prof aendelee kuwaumiza wanaotegemea ma-sugar Daddy. Tupo vizuri sana sasa Financially na matunda utaanza kuyafaidi msimu huu ... ... kila Kimburu au ndezi atakayejitokeza atakula mkong'oto anarudisha enzi ya Invincibles kama kawa .... ... . stay tuned .... .... .... ..




BTW Tiger kalivurunda tayari .... .... .... bad days jana na leo at the office .... .... ..Nadal stays on course to retain his French Open .... ... ...
 
Reactions: BAK
Umepima malaria lini kwa mara ya mwisho?


Ndio ugonjwa unaokusumbua ... ... hukawii kupima khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kweli binadamu tunatofautiana. Najaribu kuangalia huku Alaska chijui mbu nilimwona lini? ooops we have got Mbu as Gunners supporter ... ..BTW vipi summer haijaanza huko uliko Mkuu Mbu? Njoo wape vidonge hawa Mashoga they are in a downward spiral khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Sawa Mkuu ila wengi wameshapoteza imani na AW, ngoja tusubiri. Nimeona Mkuu kuhusu Tiger hata sielewi ni aje. I hope yule blonde hahusiki na Tiger's poor performance. Serena na Nadal both are still on course to maintain their supremacy.

 


Hii ndo mipango mizuru ya Prof. Bean
 
We Mfarisayo tutakurudisha kwa mayahudi . .. ... .. nani kwakwambia tunahitaji kumuuza Pod? Bado unasumbuliwa na magazeti ya udaku khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee unchoma lakini huelewi Phew!



BTW






Ready, steady, cook: Arsenal midfielder Jack Wilshere
donned his apron for a barbecue in his back garden

Jack anakula nyama tu chacha ndio mambo ya summer hayo
wakati Theo na OX wapo .... ..... .... Brazil na England





Prime position: Theo Walcott (left) and Alex Oxlade-Chamberlain
stand in front of Christ The Redeemer





Mambo ya copakabana haya .... ..




Naona kuna wanoko tayari udende unawatoka ... .. ..

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee





Water beautiful spot: Rio de Janeiro's world famous Copacabana beach is certainly a main attraction in the city... but there is so much more beyond the sand for every sort of holiday, be it adventure, history and excitement



Anyway msijali next time ukitembelea Brazil nenda hapa chini ... ..





Holy smokes: The Statue of Christ the Redeemer
(sits proudly above the city on Corcovado Mountain)



 
Gonzalo Higuain anaweza tinga Emirates maana morinyo alikuwa anatia kauzibe pale, na Cesc anataka kurudi Emirates ... .... . ... ..more to come . ...
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…