Song ametuma tena maombi ya kurudi kwenye chama kama atakubaliwa
Na leo tumeona tena vipi mpunga unavyofanyakazi
Nilikuwa nikisikia tu kuwa kuna mpunga lakini sasa ninaona, na Wnger alisema kwanini FA hawakubali timu zipimwe doping tumgeliona mengi lakini ndio MPUNGA unafanyakazi
Timu nyingi kama Manu wanatumia doping lakini wacha ninyamaze kwanza