gervinyo anacheza vizuri then anatoa pass hovyoooooooo kabisa
Huyu Fabianski chacha ndio nini? .... ..... ... kaa golini bana ... .... ...
Two up .... ... safi sana.
BTW nasikia wanoko waliokuwa wanachungulia chungulia na kunyatia jukwaa hili wameamua kukimbia maana vijana wa prof wamefanya kile walichoambiwa wafanye .
Unachosema ni kweli walikuwapo wengi hapa wanawanga lol..
Wakuu wa Gunners baadaye kidogo ngoja tuwajibike na majukumu mengine kidogo .. ... ...
Wakuu wa Gunners baadaye kidogo ngoja tuwajibike na majukumu mengine kidogo .. ... ...