Fabianski, Jenkinson, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Arteta, Ramsey, Rosicky, Walcott, Cazorla, Giroud..subs: Mannone, Arshavin, Vermaelen, Oxlade-Chamberlain, Diaby, Gervinho, Coquelin
Timu ya leo na Theo ooops Giroud anaweka chuma dakika ya tatu .. ... ... . nasikia wanoko wame log off khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Arsenal 1 up
Mwanzo wa Milioni SHILINGI
sipendi kukupoteza katika chama langu hivyo inabidi niiombee mabaya arsenal!!Arsenal wakipita hii raundi, naacha kuishabikia Manchester United, nakuwa shabiki wa Arsenal.
Khe khe khe...naona bahasha za Profesa Wenger zimeanza kufanya kazi... Khe khe khe!!
Sawa...Asernal wakipita nakunya mafungu mafungu hadi moro
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
ngoja tusubiri maji yapande mlima!by the way ni timu pekee ya uingereza ambayo bado imo ha ha ha ha!!
kwani hamnaye kama messi nyie!!Leo tunapita kimaajabu...
Arsenal wakipita hii raundi, naacha kuishabikia Manchester United, nakuwa shabiki wa Arsenal.
Angalia mpira wewe ... ... .... ... Wacha filimbi ... ....
Fabianski, Jenkinson, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Arteta, Ramsey, Rosicky, Walcott, Cazorla, Giroud..subs: Mannone, Arshavin, Vermaelen, Oxlade-Chamberlain, Diaby, Gervinho, Coquelin
Timu ya leo na Theo ooops Giroud anaweka chuma dakika ya tatu .. ... ... . nasikia wanoko wame log off khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Arsenal 1 up
Naona una piga story peke yako.
Umejiandaa vipi kumaliza wa 5 mwaka huu?
Dah..... Aya bana... Timiza ahadi lakini.....