Hapo umeongea mkuu belo, hata mimi huwa simwelewi kwanini pod anasugua benchi, Kila la kheri kwa spurs UCL.Wenger hajui kupanga wachezaji kutokana na timu anayocheza nayo,Podolski alistahili kuanza hii game
Wenger hajui kupanga wachezaji kutokana na timu anayocheza nayo,Podolski alistahili kuanza hii game
nafasi ya kucheza ucl sijui, inahitaji miujiza, wenger na abadilike sasa heh!
Daah! Kumbe jamaa katupiwa ndizi! Nalaani from my heart hicho kitendo,too bad.VERY DISAPPOINTING GAME FROM ARSENAL...
Sasa huu ni ubaguzi wa aina gani!?? wamemrushia ndizi mshkaji...ila game analijua!!!
Mkuu umesema kweli. mimi kwa kweli siyo fan wa Mikel Arteta. Afadhali kama Abou Diaby akiwa anacheza kidogo huwa anaprotect back four. Leo ilikuwa kila mara Spurs wakienda mbele inakuwa ni hatari na wanakaribia kufunga goli. HataTumefungwa kwa mbinu mbovu za kocha wetu...mara mbili viungo wa spurz wamepiga through pass hawajakabwa huu ni upuuzi usiovumilika kutoka benchi la ufundi
Mkuu umesema kweli. mimi kwa kweli siyo fan wa Mikel Arteta. Afadhali kama Abou Diaby akiwa anacheza kidogo huwa anaprotect back four. Leo ilikuwa kila mara Spurs wakienda mbele inakuwa ni hatari na wanakaribia kufunga goli. Hata
Nafikiri hata Santi Cazorla anacheza position ambayo hajaizoea.
I think Steve Bould is just bogus. Pat Rice alikuwa ni kocha mzuri ambaye kwa sasa tunamkosa.
Hata hivyo, kuvunjika kwa pakacha hakumaanishi ndiyo mwisho. Bado tuna mechi 10 ambazo ukiangalia kwenye paper, Spurs wana match ngumu zaidi yetu.
Fingers crossed. Kitu chochote kinaweza kutokea. who knows.
Hii point yako imenifanya kucheka. I think, you're right.Nadhani mwenye majibu ya matatizo ya Arsenal ni wenger mwenyewe! We are deluded all over the world by a single frenchman
Hii point yako imenifanya kucheka. I think, you're right.
Unafikiri kwa nini akili ya Arsene kwa sasa haicharge kama zamani au tatizo lililopo ni kutokuwa na wachezaji wazuri.
Mimi nafikiri huyu Mmarekani hatufai hata kidogo, Hata kama akiwepo kiwanjani anaangalia mpira, ukimwangalia ni kama anasema 'get me out of here'. Toka aje tumekuwa tukididimia kila mwaka. SPINNING AFTER SPINNING, eti pesa ipo ya kununulia wachazeti. My foot
Hiyo game plan wala usiniulize kabisa. Ni kichekesho.Sawa stan anaweza kuwa tatizo ila Bodi wakati wa january ilifanya mkutano na Arsenal supporters trust (AST) wakasema wana £70mil na watatumia kusajiri uliona kilichotokea tulimnunua MONREAL na baada ya Fans kumzomea sana Santos na baya zaidi ni tukio lake la Tshirt ya Rvp pale OT
jiulize mechi 5 za mwanzo mwa msimu timu nzima ilikuwa inakaba mpaka ikasemwa kuna "bould's impact" mechi ya sunderland,montpellier,Stoke,southampton,Livepool na Man city baada ya hapo tukapoteana
Hivi game yetu pale OT ungekuwa coach ungewezaje kumpanga santos apambane na Valencia na Rafael? Hapo hapo alifanywa uchochoro na Jefferson Farfan siku 4 kabla? Ungewezaje kumuanzisha Walcott benchi? Mpaka dakika ya 60 hatukuwa na shots on target hata off target we umewahi ona wapi?
Mi nadhani kuna matatizo ya bodi ila hata mbinu za AW nazo ni tatizo nikuulize game plan ya Arsenal dhidi ya Bayern ilikuwa nini?
In arsene we trust? May be
Hiyo game plan wala usiniulize kabisa. Ni kichekesho.
Tatizo toka msimu uanze Arsene alikuwa amejisimika kwa Diaby wakati ni mchezaji wa mechi moja tu (injury-prone).
Mimi kwa kweli toka Arsene nimemfahamu kama kocha, huwa ananiacha hoi pale anapodadirisha mchezaji kwenye dakika zake za 75. kama leo alivyofanya.
Kuna wachezaji wengine hata hawafai kuvaa shati za Arsenal lakini cha kushangaza wako kila week bench kama madodosa kwa maana kuwa hata wakihitajika hawana impact yoyote. Kwa hapa ndiyo ugonvi wangu uko na Wenger.
Nakubaliana na wewe, kwa sasa matatizo kwenye timu ni mengi, kwa maana kuwa hata mwenyekiti naye anatakiwa kupumuzishwa uongozi. Mmarekani aondoke, Wenger naye ikiwezekana aondoke ili tujue kama kweli pesa ipo au haipo
Kwa nini unafikiri alipokuwepo David Dein timu na uongozi ulikuwa active?
Nilikuwa kwenye The Gunner's pub pale Highbury, kama ulivyosema, washabiki na wanachama wamegawanyika makundi.Ebu tusubiri pale spurs wakimaliza juu yetu mashabiki huko Uk watafanya nini au Bodi itabadilika au ndo demise of Arsenal..yetu macho
Nilikuwa kwenye The Gunner's pub pale Highbury, kama ulivyosema, washabiki na wanachama wamegawanyika makundi.
Wengi wameanza sasa kununua hii issue ya Wenger kuachia ngazi na kama hatutakuwa kwenye nne bora, sidhani kama Wenger anaweza kubaki. Na kama akibaki basi atakuwa na wakati mgumu sana kiuongozi.
I'm still on his side and I really want Stan Kroenke to go. Hata hivyo Waingereza ni fickle.