AW anamuanzia KOS over PER Wakati akijua kuna akina Demba Ba nani atadeal na Aerial balls??? KOS mzuri ila sijaona sababu ya kufanya changes kama kikosi hakina tatizo....
walcot amepoteza nafasi mbili muhimu, kati pamepungua kidogo nafikir tunajaribu mashambulizi ya kustukizia tunapoteza mipira mingi katikati itatugharimu mwisho wa gemu