MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 511
Arsenal kachapwa
Man city kachapwa
Madrid kachapwa
Milan kachapwa
Chelsea alichapwa
What happened this week
Alafu game nyingi Ramsey anazoanza tunafungwa sijui ana gundu..
We will come back though ...😀
Kwa akili yako ndivyo ulivyotafsiri ndio ajabu ya hii dunia masikio unayo uelewa zilch, sifuri, zero khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee. unaweza kumwelewa prof wewe .. ... ... ...
naona washabiki wa arsenal mnajaza pages za kujifariji!nasikia raha sana nikisoma mnavyojifariji na kutiana moyo
Ramsey ana gundu! .... leo mungu wa soccer yupo upande wa goners ushindi muhimu
COYG
Tuna mchezo wa kusinzia tunapocheza na timu yenye slow game na mara nyingi ina tu cost