Wakuu Balantanda, BAK na Viper tatizo kubwa la arsenal wanakimbilia kushinda possession af magoli hakuna....
Wanasahau watu wanataka magoli hiyo possession kubwa ni matokeo tu...
Hao jamaa wote wapo poa... Ila ile Combination inachomoa kwa sababu ya mfumo... Kwa sasa beki zetu za pembeni zinapanda sana.... Verm na KOS wote nao ni watu wa Kupanda flani hivi.... Ila PER kupanda ni almost hakuna zaidi ya kwenye Corner...
Still Per anaongeza solidness kwenye aerial balls... So hata mi napenda hii Comb ya PER na Verm.......