Nyie kila mtu hawapendi the whole world is against u huh... Get a grip :happy:
Mechi ya leo inaweza kuamuliwa na wachezaji wawili wa Spain Santiago Carzola na David Silva.
Hata mimi nimeshangaa.....Ni bora angemuanzisha hata Giroud lakini si RamseyAW anamuanzisha Ramsey na OX Bench??? Duh.... Anajua mpira kuliko mimi lets see
Mechi ngumu sana hii......
Ngoma imeanza
Man City 0-0 Arsenal
Hahahaah!! Tumekuzoea...Majirani nimekuja ol ze way from Stamford bridge....Anfield...na sasa nimetua Etihad....
Diaby miyeyusho kweli.......Anatugharimu