familia ya wanaojua soka na wanaume waliotmia (arsenal) wanayofuraha kuwakaribisha wadowez wote kwnye hi thread ktk sakrament takatfu ya mauaji ya kimbar(lethal assasinatn) yatakayofanyika jion ya leo ethihad stm yakifuatiwa na tafrija ya nguv kwnye ukumb wa gunnerz special (maeneo ya jf) ua warmly welcome