Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
mie nadhani kipindi cha kwanza hatukucheza vizuri kabisa na ndio maana tulienda half time bila hata shot on goal moja.tulipoteza sana mpira kupitia diaby na wengi walikuwa wanadondoka hovyo.kipindi cha tulicheza vizuri baada rosicky kuingia sema tulipokuwa goli 2-1 watu walipoteza focus kwenye game na kuanza kuanza kutaka kushambulia bila kuwa makini na ukabaji na ndio kiliwapa nafasi man city kwenye counter attacks zake.Yeah kweli shangazi 'yangu' hapo juu umenena kweli. Lakin hilo la sisi kucheza vizur then na ku-lose ndo hata wenger mwenyewe anakuambia 'hard to take'.
N way, thanx kwa kutufariji wana-gunnerz!
jamani karibuni man utd watu wa arsenal..mtakufa na timu yenu kimeo..saiv mmekuwa washika viwembe sasa sio bunduki..
All you people are not true ARSENAL FANS. Please move­­ on to another club - Wenger or no Wenger, win or lose,­­ we love ARSENAL and that's it. Stoke City loses­­ every weekend but their fans stick behind them no­­ matter what. I don't consider you guys real­ ARSENAL­ fans just because the team goes down a couple­ of goals­ or loses a couple of games. LIVERPOOL­ hasn't won­ the league in 19 years. CHELSEA were a­ Top 10 team­ before Roman came with his money. The­ point is - stick­ with your club through thick and­ thin, but especially­ through thin. COME ON YOU­ REDS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!­ Gooner4LifeBora ungesema tuhamie Burnley!
All that begins well, ends well! Inaonekana huangalii match. Ungekuwa unaangalia ungekuwa usha-analyze ukajua kama arsenal wanaweza kusawazisha. Kwa faida yako jinsi wanavyocheza arsenal, kusawazisha labda liege wabaki watano au arsenal wamwingize wenger!
78mins 'GOAL ARSENAL!! The Gunners equalise with a very scrappy and highly contentious goal. Fabregas's free-kick clearly strikes the arm of Song. That keeps the ball in play and he hooks across the face of the goal for Vermaelen to bundle home from two yards.Duh kweli naona washika bunduki mdebwedo kweli msimu. washawashwa 2 za haraka haraka.
Hebu ngoja niende kwenye thread ya chama langu la Liver. Maana naona huku hakuna dili...
Kuwa mstaarabu,unatokea mkoa gani kweli?
Ubarikiwe kumbuka kupunguza ukali wa maneno kama watokao kanda ya ziwa.Mkoa wa Tanzania
Mashabiki wa arsenal labda mnisaidie swali hili-mwaka huu mtafika popote Champions league? Huu si mwanzo mzuri. Maskini, mnatia huzuni. poleni mwaya.