Itabidi masheitwan watugawie robo ya kombe la EPL, tumewabeba sana leo,robo nyingine wawape marefa wanaowabeba.
Kumbuka hata sisi tuliwabeba baada ya kuwapiga zile goli 8,Mr Bean akawanunua kina Arteta
matunda ya san sebastian ndani ya jimbo la kujitegemea la basque country nchini spain,spain ni kipaji wapo wengi tu aspain vipaji bado hawajatangazwa kuna santi cazorla,jesus navas gonzalez,javi martinez,fernando tores llorente,xabier prieto,alfredo negredo na hata mario gomez gacia wa bayen munich super mario ni spain asilia tunamtoa lakini!
Mida flani panahusika sana hapa.. Tupo pamojah!.... Babu aifanye makosa tuliyofanya na qpr...!!
Sijui kwanini babu anampenda hivi huyu mtoto..Pamoja na RAMSEY ku waste ile chance dhidi ya Man City leo ndo anaanza mbele ya inform Rosicky... AW ndo atazingua game ya leo...
Sijui kwanini babu anampenda hivi huyu mtoto..
Kila siku wenger anajaribu combination, leo naona anataka ajue kama ramsey anaweza kucheza na benayoun. Mechi ijayo anampambanisha diaby na Ramsey...kikosi hakijatulia mbona... wenger anadhani ni Carling cup nini..? dah.. hebu tucheki lakini
Kila siku wenger anajaribu combination, leo naona anataka ajue kama ramsey anaweza kucheza na benayoun. Mechi ijayo anampambanisha diaby na Ramsey...