TECHMAN, hapo nilikuwa nazungumza na mshana jr.Sikumchanganya kwenye kundi la elton john na mshirika wake.Na mshana jr alielewa na ndo maana hajalalamika kutaka marekebisho.
grafani watakuzwa katika mazingira ya kishoga na watafundishwa ushoga, hao walezi/wazazi!!?? hawatakubali watoto wao wawe tofauti na wao ni sawa na wazazi wa imani fulani hupenda na watoto wao wawe hivyo hivyo....!laana inatamalaki duniani

Ohooo shauri lako mkuu, nasikia eti hadi kuna majini nayo yanaweza kulog in JF, japo kiukweli huwa sielewi kama hayo majini ni wanyama, ndege au ni wadudu!!

Usijali mi mwenyewe nayamiliki na nina uwezo wa kuwasiliana na hata na vibwengo vinyamkera mizimu na hungry ghosts!!! sio kwamba natania ni kweli ninachosema