Arrrrgh! Huu Ucameron huu!

Kwa hiyo mkuu wewe unapenda sheria za kibaguzi?
Unataka wabaguliwe?
 
Jamaa kila siku ni kukoroga mavi na kuzibua choo!!What a jpb!!
 
Kuna watu wa ajabu, dume lenzio unalipapasa na tena huna hata wasi
 
Chukizo mbele ya MUNGU na Wanadam
 
Yani wanyama pamoja na uhayawani wao hawawezi kufanya huu ubazazi
Sema wewe mkuu, akilini hata kwa kufikiria unaona haiji kabisa ni kitu ambacho hakiwezekani ila kwa hawa wenzetu(mafirauni) hawana hata uoga
 
Sema wewe mkuu, akilini hata kwa kufikiria unaona haiji kabisa ni kitu ambacho hakiwezekani ila kwa hawa wenzetu(mafirauni) hawana hata uoga

Halafu wanafanya juhudi kubwa kweli kuharibu vijana wetu afrika
 

nani aliweka mbegu sasa kati ya hao maabithi wawili....?
 
Kwa hiyo na watoto wanakuzwa waje wawe mashoga, kuna uhuru mwingine sio uhuru ni ushenzi,
 
Watetezi wa haki za binadamu wako wapi? Maana hao watoto hawatendewi haki kabisa! Haki ya mtoto ni kulelewa na baba na mama ajue tofauti ya jinsia hizi mbili. Mtu kama umeamua kuwa shoga hw come unataka watoto? Kuwa shoga inabidi ukubali matokeo yake mojawapo ni kutokuwa na watoto. Sijui dunia inaenda wapi!
Huku aafrika nashangaa tunawapigia makelele wazungu kuhusu ushoga wakt tumeacha kula vyakula vyetu vya kiasili tunaiga vya hao wazungu sijui pizza" chips, spaghetti n.k. naona hivi navyo vinachangia kufanya watu kucause hormonal changes yaani mwanaume anatamani kuwa mwanamke na viceversa!
 
SHIEKA, Rekebisha hii habari yako, umesema Elton John na mwenzake mshana?
 
Last edited by a moderator:
SHIEKA, Rekebisha hii habari yako, umesema Elton John na mwenzake mshana?
TECHMAN, hapo nilikuwa nazungumza na mshana jr.Sikumchanganya kwenye kundi la elton john na mshirika wake.Na mshana jr alielewa na ndo maana hajalalamika kutaka marekebisho.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…