Arobaini maana yake ni nini hasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arobaini maana yake ni nini hasa?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mwanamalundi, Oct 30, 2012.

 1. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 3,034
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  1. Mtoto anapozaliwa anafanyiwa sherehe baada ya siku arobaini
  2. Binadam anapofariki anafanyiwa sherehe baada ya siku arobaini
  3. Yesu alifunga kwa siku arobani
  3. Wana wa israeil walikaa jangwani kwa miaka arobaini
  4. Za mwizi ni arobaini

  Nini maana ya arobaini. Naomba kuelimishwa. Nakushukuruni.
   
 2. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 3,034
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  nakuombeni msaada ndugu zangu.........
   
 3. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 3,034
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  There are currently 8 users browsing this thread. (1 members and 7 guests)
  Msaada jamani!!

   
 4. bhikola

  bhikola JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 457
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  usiwe na papara, we umeleta uzi tulia ushonwe sasa kukaa unapost mwenyewe basi jijibu
  anyway turudi kwenye mada, 40 ni kipindi cha mpito kwaajili ya kujirudi (restoration) au kujiandaa kwa kazi maalumu, ukitaka kujifunza zaidi fuatilia kwenye biblia habari za siku arobaini, miaka arobaini au nusu yake na hapo utaelewa zaidi
   
 5. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Hujamjibu anyway! Why 40 and not 50, 30 ie any other number
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Mwanamke akijifungua anaweza ku-do baada ya siku 40...!
   
 7. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Anyways unaweza ku-google na utapata "insight" kuhusu siku 40..! Google
   
 8. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 3,034
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  asante
   
 9. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du mkuu mimi sina jibu ila nasubiri wale wataalamu wa socilogy watusaidie
   
 10. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,628
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  nitajibu kwa mtazamo wa kiroho zaidi sijui kwa wengine

  40-katika imani ya kibliblia humaanisha kipindi cha mpito na ni ishara ya kukamilika kwa probabation period before full transformation
  7-ni namba inayowakilisha kukamilia au ukamilifu

  ila sijui kwa imani nyingine pamoja na maisha ya kawaida inakuaje......
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,474
  Likes Received: 5,858
  Trophy Points: 280
  Kunamti pia unaitwa MUAROBAINI

  What's with the Hebrews and the number forty? Sounds like they were heavily into numerology.
  1. The Flood rain was forty days.
  2. After landing on the mountaintop, Noah waited forty days to open the windows in the Ark.
  3. Moses was on the mountain for forty days.
  4. The Hebrews walked the desert for forty years
  5. They search out the Promised Land for forty days
  6. Isaac was forty when he married Rebekah.
  7. Twice, Judges gave peace for forty years.
  8. One occasion, war for forty years.
  9. One Judge had forty sons…poor wife.
  10. Saul ruled for forty years.
  11. David ruled for forty years.
  12. Solomon ruled for forty years.
  13. Joash ruled for forty years.
  14. Prophecy said Egypt would be barren for forty years.
  15. Elijah was in the desert for forty days.
  16. Jesus walked the desert for forty days.
  17. Joseph walked Nineveh for forty days.
  18. Jesus was said to appear to his followers for forty days after his resurrection from the dead.
  I've heard, but never checked, that forty years is mentioned forty times in the Bible.
  The word ‘forty' is mentioned one hundred and forty times. This seems to be an obsession with the Jews…or ‘God.'


  I know I have missed a few (?) here, but doesn't this raise a few questions about the stories? Do modern day Christian religions have an obsession with the number 40? I haven't heard anything about this.


   
 12. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 3,034
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Never thought of these. Anyway, thanks. Hopefully, watakuja kutuelimisha hapa.
   
 13. awp

  awp JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hiyo Avotor yako ndio kusema unalia kwa kukosa maana ya neno Arobaini? teh teh
  4. ni msemo tuu- ukiashiria kuwa ukiiba ipo siku utakamatwa
  3. Yesu alifunga siku arobaini akiamini kwamba ndani ya kipindi hicho atakuwa amefanya toba na kusema na mungu wake
  2. Arobaini ya kifo - tunaamini kuwa katika siku hizo viuongo vya mwanadamu vitakuwa vimetenga na mwili na kuwa mdongo hatimaye kusahalika kabisa (biadamu ni mavumbi na mavumbini utarudi) haziwezi zikawa saba au 15 coz utakuwa hujamaliza kuoza na kurudi udongoni
  1. arobaini ya kuzaliwa, ni imani kuwa baada ya siku arobaini kitoto kichanga kinaweza kuonwa ama kuchangamana na wakubwa tukiamini kuwa ameshaanza kukomaa, wengine hufanya sherehe, wengine kimyakimya na wengine kama mimi kwangu halipo kabisa kwahapa sina 40 wala 50.
   
 14. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 3,034
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Kichuguu et al, please help.
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,474
  Likes Received: 5,858
  Trophy Points: 280

  Because of 40 days / 40 nights of the Flood and 40 years wandering in the desert while the generation that refused to enter into the promised land all died off, 40 has come to symbolize a "period of cleansing" as well as one generation. (Jesus' fasting in the desert for 40 days and 40 nights is a fulfillment of of what the Israelites in the desert could not do - remain true to God and trust in His providing.) Later in the book of Judges, the people had peace off and on for periods of roughly 40 years. (The people would rebel against God and worship false god's. When they started experiencing difficulty, they cried out to God who delivered them. Afterward, they would have peace for about 40 years until the until the next generation -- which had not seen God's deliverance -- went back to the idols.)

  Also, the period of cleansing for a woman and child after being born is 40 days or 80 days.

  Ever heard of ALIBABA and FORTY thieves?

   
 16. Gumilapua

  Gumilapua JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2013
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 538
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  pia, vyuo vingi hapa nchini, ukipata marks chini ya asilimia arobaini(40) unafanya supplimentary exams!
   
 17. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2013
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Namba moja ya mtoto kutoka baada ya siku 40 inaonyesha uzazi haukuwa wa shida kwa mzazi na mtoto kwani kwa mujibu wa shirika la afya duniani kifo chochote cha mwanamama either kipindi yupo mjamzito au ndani ya siku 40 kinachukuliwa kama MATERNAL DEATH kwa maana nyingine ni kifo ambacho kimetokana na complication ya uzazi lakini kikitokea baada ya siku 40 hasa kuanzia 43 days kinachukuliwa kama kifo cha kawaida hivyo naweza sema ndio maana mtoto anatoka siku ya 40
   
 18. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2013
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh pia kuna kundi la music lilikuwa linaitwa UB40
   
 19. MZALENDOWAKWELIKWELI

  MZALENDOWAKWELIKWELI JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2016
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 293
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  Mchango mzuri. Barikiwa!
   
 20. LIKE Niku ADD

  LIKE Niku ADD JF-Expert Member

  #20
  Mar 7, 2017
  Joined: Jul 21, 2014
  Messages: 3,454
  Likes Received: 1,654
  Trophy Points: 280
  Arobaini VS Arubaini . Ipi ni sahihi wajuvi
   
Loading...