Army

Joined
Dec 26, 2012
Posts
63
Reaction score
9
Mi ni mzalendo wa nchi yangu tanzania.na napenda kulinda mipaka ya nchi yangu,pamoja na watu wake.yoyote mwenye taarifa za kujiunga na jeshi la wananchi wa tanzania,plz anijuze. JWTZ
 
Ndugu nafasi hizo ni ngumu kuzipata kwasababu matangazo hamna hata kwenye web yao kujiunga huwa ipo miaka yote kwenye web yao and den huwa kama hawatangazi vile xo jaribu kufuatilia NGOME au wilayani kwako kwenye kamati ya ulinzi na usalama watakupa real information and not tetesi mkubwa@lodvick
 
nafac zilishatoka na wa2 wamesha be recruited..chek next yr.ila cku hz lazma upitie JKT ndo upate nafac za JW,USALAMA,POLICE nk.
 
Na JKT wanaanza mwez ujao, form 6, 4 na darasa la 7 kadhaa wale wa bachelor JKT wameingizana tu tena kimyakimya, kama kuna Afisa wa juu jeshini unamjua u better hurry up maana hata JKT sasa hv imekuwa hot cake maana ndio kama shortcut ya kupatia ajira JW, Usalama, Takukuru, Magereza, Tanapa, Police na Uhamiaji.
Ctak kumdissapoint mtu lakin kama unangoja nafasi ya kwenda Monduli TMA moja kwa moja kama proffesional utasubiri sana, hamna hiyo kitu cku hizi!
 
Poa mpiganaji,hilo natambua.hata hivyo jeshi liko jkt sio jw.jw ni kwenda kufanya utekelezaji.
 
wako kwenye usaili wa jkt unaweza anzia huko. kama huku niliko ndo kwanza wako kwa DC.
 
SEMA MPIGANAJI,UKO PANDE ZIPI? Coz HUKU MBEYA BADO.

Kwakuwa tayar ushajua JW bila JKT ni sawa na kuisubiria meli Airport basi usiseme huku Mbeya bado, habar nilizonazo from pale Mlalakuwa JKT HQ watu wameanza kureport Kambini Jana kuanzia Ruvu JKT, Mgambo JKT wote jana tarehe 24 February na kambi zingine pia, week nzima hii watareport tu depo, pale makao makuu geti la kuingilia kwenye kila kibanda cha mlinzi wa getini kuna karatasi za majina yote kutoka Mikoani na Dar pamoja na kambi walikopangiwa kwahyo unaenda tu unachek jina lako, kuangalia ni bure na hamna kuulizwa maswali meengi!
So kama bado unasubiri waje mbeya kwenye usaili hebu jaribu kufanya kama unauliza vizuri kwa DC maana nnavyoona ni kama umeachwa nyuma!
 
Ebwana kuna jamaa wangu yupo mbagala ila hajui JKT headquarter, nilikuwa naye DOM hapa, hivyo yeye mgeni hapo Das lam,
 
Ebwana kuna jamaa wangu yupo mbagala ila hajui JKT headquarter, nilikuwa naye DOM hapa, hivyo yeye mgeni hapo Das lam,

Mwambie apande daladala ya Mbagala-Kawe amwambie Konda amshushe Mlalakuwa JKT yaan ukishuka hapohapo unaliona Jengo mbele yako maana liko barabarani kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…