Waswahili wanasema mbwa ukimzoesha mikono sana atakufata hadi msikitini, hawa jamaa biashara ya kwenda kutangaziana colgate has to stop, sasa tuwaoneshe tumejiandaa zaid kivita kuliko diplomasia watarejea kwa huyo alowatuma wafanye tena home work zao. Otherwise tukubali kushindwa tu