Wale wa Udsm, mambo tayari huko.wale wa September tujuane hapa...wale tuliomaliza Chuo pia tunaweza share experiences zetu kuhusu mwez september😀
SEPTEMBER TO REMEMBER
Sawa mtu mzma nmekuelewa, lakin Sept si unaijua Baba au huna hata idea nayo nisikusumbue😀
nawashangaa, aisee ss wenyewe tuna matokeo na tuna sap mwez wa 9 tunarudiaUd mbona mnaleta utoto kwani ni nyie tu ndio mna matokeo
nawashangaa, aisee ss wenyewe tuna matokeo na tuna sap mwez wa 9 tunarudia