Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
Daaah ! Hivyo eeeeh ! Angeendelea kuua, Mungu wa taifa takatifu angempa umri wa Miaka elfu moja kama Nuhu eeeh !KWELI Mzee huyu alikuwa akitekeleza matakwa ya Israel vizuri lakini mwishoni akapagawa na roho ya kuasi kanuni za taifa takatifu kwani alikuwa na plan ya kutoa uhuru kamili kwa wapalestina ndipo Mungu akamute.
Ndo maana nimekwambia Mungu wako, wao wanamwita Mjomba, wengine Kaka, wengine Binamu !
Sasa Mungu aliamua kukateuwa kataifa kamoja tuu, halafu mengine akayaacha hayana Mwenyewe ! Yapo yapo tuu ! Sasa sie huku tunaripoti kwa nani !?
Halafu hawa walimpiga na kumuua Mungu (imagine !) tena Mungu huyo huyo kawateuwa !!
Aaaaaaah ! Acheni sarakasi bana !
mambo yaliyofanyika kwenye mapango ya mashetani siyatakiNdo 'roho' iko kooni hapo ! Hairudi wala haitoki ! Allah SW anakuchallenge kuwa fanya 'mambo' anyanyuke kama wewe unajuwa kweli ! Rudia tena: "Quran;56 :83-87.
Allah kasema hakuna mungu?Kwani allah ni nani na mungu ni nani?Acha kutumia lugha chafu, hivi kafiri si anaye pinga Mungu? Sasa nani kafiri kutokana na Koran? Maana allah kesha sema hakuna Mungu,
Mashetani yako kwa Kakobe na Rwakatare, huoni watu wanavyopungwa ?!mambo yaliyofanyika kwenye mapango ya mashetani siyataki
mimi si wa huko-nazungumzia yale yalioyompa verse kiongozi wakoMashetani yako kwa Kakobe na Rwakatare, huoni watu wanavyopungwa ?!
Ndo hayo hayo ! Au ya kule yamebadilika !?mimi si wa huko-nazungumzia yale yalioyompa verse kiongozi wako
.......na uzima wa milele ndio huu: wakujue wewe " Mungu wa pekee na wa Kweli" na Yesu Kristo uliemtua.Allah kasema hakuna mungu?Kwani allah ni nani na mungu ni nani?
Wacha ujinga wewe ! Tafuta vitabu usome kisha uje na hoja za maana. Kama Babu yako aliabudu kichaka au mti, basi na wewe without reasoning unaabudu kichaka ! Ukikuta kimefyekwa utahamia kuabudu nini !Ndg zangu 2jiulze kabla ya majirio ya Waarabu na Wazungu na majina yao pa1 na DINI zao,babu,bibi,baba na mama ze2 walkuwa hawana majna wala DINI? Achane u2mwa wa akili jaribni ktafakar wote walilenga utajri na sio kueneza hayo mnayorumbana kuweni makn juu ya hlo..